A. UTANGULIZI Tunamshukuru Mungu kwa kutulinda salama hadi leo.Kama mnavyokumbuka ,tulifunga shule tarehe 17 Machi 2020 ,kutokana na mlipuko wa janga la korona COVID 19. Katika kipindi hiki cha likizo, shule ilitoa kazi tatu za nyumbani kwa watoto Read More …