7 thoughts on “HOLIDAY PACKAGES”

  1. I commend the management and faculty of Grace Primary for sustaining learning for our kids during this challenging season. God bless you!

  2. Habari za kazi walimu na wafanyakazi wote wa Grace School. Nawashukuru sana kwa kuendelea kutoa ushirikiano kwetu kuhusu elimu ya watoto wetu. Tunaendelea kuomba Mungu hali hii ipite na watoto wetu warudi shuleni. Pia tunaomba kwa yale masomo ambayo bado hawajatoa holiday package ya pili walimu tujitahidi ili watoto wetu wasibaki idle. Mfano Mathematics grade III haipo huu ni mfano tu. Nafahamu changamoto ni kubwa Mungu atusaidie tuweze kukabiliana nayo.

  3. Asante sana sana.Ila zipo zingine zinatumwa katika Whatsapp pia.Kazi na majibu yake ili mzazi uweze kuzisahihisha.

  4. Hongera sana Waalimu, nashauri Watoto wakirudi shule swala la nidhamu lipewe umuhimu sana kwa Wanafunzi kuinua nidhamu yao na maadili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *